Kupitia Ukurasa wake wa Instagram lady Jay Dee mwanamuziki mkongwe asiyechuji na kwa sasa anatamba na wimbo wake Historia ameonyesha ndinga yake mpya ambayo ni…………… Jioneeni wenyewe.
Baada ya Kupost Picha Hii Lady Jay Dee aliandika “Nimekaa Humu”
Matokeo Mazuri ya kazi ngumu na jitihada yanaendelea kuonekana kwa mwana dada huyu shupavu kabisa
hongera Dada always Salute You