Staki kusikia nyimbo zote za marehemu ALBERT MANGWEAR alizorekodi BONGO REC zikipigwa CLOUDS FM kuanzia sasa.
“Muda mfupi uliopita nilipokea simu kutoka kwa Producer mkongwe hapa bongo anajulikana kwa jina la P Funk Majani na kuniomba nipokee msg hii hapa chini na kuwaomba watanzania walijue hili na baadae atatoa barua rasmi”
Na hii ndio Massage alioituma kwa Dj Choka
Chanzo: Dj Choka
2 Comments
Nawashauri wasanii wote ambao wanafanyiwa matendo maovu na hivi vituo vya redio waanike hadharani ili watu tujue uozo wao manake wanatumalizia wasanii wetu tunaowapenda.
Hasa hiki kituo cha clouds FM. Mimi ni shabiki namba moja wa kituo hiki lakini ninaposikia haya mambo ya kukandamiza wasanii, jamaa wananiboa to the maximum, Sugu alisema mpaka akawachana live, Jide nae kasema pamoja na gadna, kumbe ngwea nae alishafanyiwa hujuma, majani kasema.
Wote hawa ni wasanii wakubwa sana TZ ambao ndio legends wa bongo flava. Kama hawa wanafanyiwa hivi, inakuaje kwa wale wasanii ambao bado ni undergrounds? Hawa watakua wananyonyonywa mpaka basi.
Wasanii badilikeni, jitambueni msiwe watu wa kuburuzwa tu. Leo wanatanzania wanajua ngwea alihama kutoka kupanga nyumba nzima mpaka kukaa gheto la washkaji zake, yote haya yamechangiwa na hawa mafedhuli wakubwa wa clouds FM
MH jaman hii ni hatari kweli wasanii mjitambue na muwe na umoja ili muweze kutimiza malengo yenu kwani kidole kimoja hakivunji chawa