Ni Kuhusu MTOTO Nasra Said aliyekuwa akiishi kwenye box kwa miaka minne akidaiwa kuteswa na mama yake mkubwa baada ya mama yake kufariki, huku akikosa uangalizi wa karibu, chakula, tiba na huduma nyingine muhimu.
Nasra AMEFARIKI DUNIA katika Hospitali ya Taifa MUHIMBILI usiku wa kuamkia Jana majira ya saa saba, sababu iliyosababishwa ni Nimonia na homa ilipanda sana.
Hakika kisa hiki kimekuwa ni tukio lililoniuma zaidi Msimu Huu, Binadamu Amekuwa kiumbe Cha Ajabu Zaidi Ya Mnyama
Pumzika Kwa Amani Nasra Nahakika Mungu Amekuchukua Ukafaidi Maisha ya peponi Maana Adhabu uliopewa Duniani Ilitosha.