Picha Hii Ilipigwa Mwezi May 25 2014 wakati Rais Kikwete alipomtembelea Mama wa Mbunge Zitto Kabwe ICU kwenye hospital ya AMI Dar Es Salaam
Zitto Kabwe Alishare Ujumbe Huu Mara baada ya kupata taarifa za kuondokewa na kipenzi mama yake
Mungu Aipumzishe Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi