Mwanamitindo Mtanzania Afanaye shughuli zake za uanamitindo nchini marekani Flaviana Matata Is Official Taken,
Ameshare kupitia ukurasa wake wa insta gram picha ya pete nzuri na maneno yasemayo ‘I Said YES’
Pamoja na walio wengi kumpongeza Family, Marafiki, Mashabiki pia mtu mmoja mkubwa na maarufu sana Marekani Na Duniani Russels Simon amempongeza kama mwanae kwa hatu nzuri aliyofanikiwa
Picha aliyoweka Russels kupitia mtandao wake wa instagram na manno ya pongezi aliyoambatanisha nayo
Pongezi nyigi Sana Flavy, Tuna hamu ya kumuona na Kumpokea Shemeji Yetu
Nimependa unavyoheshimu Mambo Yako Binafsi