
T.I anasema anawaheshimu wote Snoop Dogg na Iggy Azalea na anamatumaini mambo yatakuwa kawaida, T.I alipima uzito wa ugomvi wa Snoop Dogg na repa kutoka Australia Iggy Azalea.
Akipiga stories na XXL, repa huyo kutoka Atlanta anasema hayupo pale kufanya watu wapendane lakini, anasema ila anawaheshimu wasanii wote na anatumaini siku moja watakuwa fresh, Maneno hayo yanakuja siku chache kabla repa kutoka California Snoop Dogg ajamnukuu ngoma ya Big Sean E-40 ili kumjibu mwandishi aliyemuuliza kama iko siku itatokea wakafanya ngoma na Iggy Snoop alijibu “I Don’t Fuck With You” ikiwa ni nukuu kutoka kwenye ngoma ya Big Sean.
Anasema Snoop Dogg bado ni mshikaji wake sana na mahusiano yao ni fresh, anamuheshimu Snoop pia anamuheshimu Iggy Azalea. Hata furahi akisikia Iggy anasema kitu kibaya kuhusu Snoop Dogg na afurahi Snoop akisema kitu kibaya kuhusu Iggy.
