
Mie nadhani Wema Yupo addicted na Kuwepo midomoni mwa watu na ikipita siku hajamake Headlines Anaumwa na ndo mana haya yote yanaweza kuwa yanajitokeza… Nahisi Wema Anahitaji Cancelling ili awe Normal.
Au Wema amekua na nyota kali sana ya kubust mitandao na vyombo vya udaku ili kupata wasomaji wengi ndo maana kila afanyalo ni story hata kama ni jambo ka kawaida linalohusu uhuru wa maisha yake. ..Nadhani imefika wakati sasa Vyombi hivi vimpumzishe mwanadada huyu ili naye aweze Kuishi maisha yake. Mtazamo Tu Lakini.
Haya ndio yaliomkuta Katika kipindi hiki cha Ramadhani baada ya Kupost Picha yake hiyo hapo juu kwenye mtandao wake wa Instagram
“Did I miss a spot…? I dunno,” ni maneno ya Wema kwenye picha aliyoiweka leo katika mtandao wa Instagram.
Hata hivyo mashabiki wengi wamemshambulia mrembo huyo kwa kile wanachohisi hakupaswa kuiweka katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Haya ni baadhi ya maoni: nanchesca5 Girl, I’m not trying to fix you,But this is the holy month.Keep it calm.It won’t hurt.
princesswawiey R u sure…ur a muslim? 1khadijaumumustafa Wewe ni binti wa aina gani usieogopa mwezi mtukufu wa ramadhan ama kweli umeshindikana kabisa hata nachanguduwa uheshim huu mwezi ila wewe ni zaidi SubhanaLLAH.
sweettuma Punguza picha za hivyo vastaraa mwez ukiisha vaa utakavo jst jistir kwamda mfupi hailet picha nzur .
mamu30 mhuu wema wangu ulivyokuwa na damu ya kunguni kesho tutaikuta hii picha kwenye mablog itakuwa gumzo ooh wema haheshimu mwezi mtukufu kumbe picha ya sikunyingi wao watadhani ndio unavyovaa hivi wakati wa mfungo lol hazole Mnaolalamika mwezi mtukufu just unfollow her thn mwezi ukiisha rudini
#GivePeopleSpaceToBreath husnaomary Muislam mzma hata haushim mwez mtukuf wema….emu muogope Allah….picha gn hii na ramadhan hii….innallillah…nakupenda wema bt kumbuka kuwa huu mwez mtukuf…..heshma ishke mkondo wake…dis z Dunia baby…ickushikilie akili yako….nakupenda ndomana nakwambia.
hapnicole Mwenyezi Mungu anasema uwe msafi siku zote nd sio mwezi mmoja tu huo ni unafiki so bora yeye kuliko wewe unae mjaribu yeye kwa mwezi mmoja tu ni mtazamo sele_yg Unanitega mwezi mtukufu.
. noranuru what..ndo kuwatamanisha watu au ,mmh shoga namwezi huu wote..huchoki?
