Taylor Swift anasema kwamba anapokuwa na stress ngoma anazosikiliza huwa ni za K.Dot mkali aliyejitabiria kuwa King of New York. Anapokuwa na stress huchagua vitu vya kumfanya apunguze stress nakurelax.
Swift amefunguka hayo wakati akipiga stories na Rolling Stone, This is my go aliongeza Taylor Swift.
Huwa anapenda kusikiliza freestyle ya Backseat ya mkali huyo Swift anasema anaelewa kila neno analosema Kendrick.
Stories kuhusu Kendrick Lamar, Nick Minaj na Kanye West zitakuwepo katika gazeti la Rolling stone linalokuja.