
Tazama jinsi joka aina ya chatu lilivyommeza swala na kumtema inaonekana swala alikua mkubwa zaidi ya chatu huyo japo tayari alishammeza kwa asilimia 80% Tukio hilo limetokea Billa,Gujarat, India,na hapo ilikua baada ya wananchi kutaka kumuua Nyoka Huyo lakini Bwana misitu akawasihi wasimuue kwakua hana madhara yeyote baadae ndipo walipo mshuhudia Akimmeza na kumtema swala huyo Tizama Movie Hiyo
