Kijana mmoja aliyefahamika kama Maqsod ameuliwa na tiger mnyama jamii ya chui baada ya kupanda kwenye ukingo uliozuia kutengenisha tiger huyo na watu huko New Delhi Zoo. Mtu huyo ambaye alisemekana alikuwa amelala alionywa mara kadhaa na wahusika wa eneo hilo asisogee karibu lakini alipuuza maonyo hayo aliyokuwa akipewa na alirukia ndani, ndipo alipokutana uso kwa uso na tiger huyo ambaye alishangaa kuona mtu amevamia katika eneo lake.
Shuhuda wa tukio ameimabia AFP “ Kijana huyo alipotua tu ndani ya eneo la tiger huyo, tiger huyo alimuangalia kimya karibu dakika 15, inawezekana kilichosababisha tiger huyo amshambulie mtu huyo ni baada ya watu waliokuwa wakitazama tukio hilo na mlinzi kuanza kumrushia mawe ili kubadilisha muelekeo wake, kila mtu alikuwa akirusha mawe na kupiga makelele ili kubadilisha lengo la tiger huyo, ndipo tiger huyo aliporuka kumfuata kijana huyo na makucha yake na kumburuza ndani kwake kwa akiwa amemng’ata shingoni”
Another eyewitness Himanshu said:
“The man was cower in fear and appeared to be pleading with folded hands to the tiger to spare him.
Shuhuda mwingine anayeitwa Himanshu amesema “ Mtu huyo alikuwa akitetemeka kwa woga na alikuwa akijikunyata kwa woga na mikono yake ili tiger huyo aweze kumuacha.
Lakini National Zooligical Park msamamizi R.A Khan ameiambia IANS kwamba kijana huyo mwenyewe kwenye eneo la tiger huyo na baadae alifungiwa tiger huyo amesema A.Khan.