
Mkali ambae alitangazwa na Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuja bonge Mwezi Julai mkali wa song ya Heat Attack Trey Songz ametangaza siku ya kuachia albam yake ambayo watakuwepo wakali kama Justi Bieber, Ty Dolla Sign, Juicy J na Nick Minaj.
Albam yake inaitwa Trigga na inatarajiwa kuingia sokoni Julai 1 kwa sasa inapatikana online. “Hiki ni kipimo kingine cha akili yangu na hisia, It is Vulnerable, but it,s harsh, Trigga a bit unapologetic, a little vulgar sometimes.” Alisema Try Songz wakati akipiga stories na Rap-Up juzi kati, na ngoma zinazopatikana katika alabam ya Trigga ni pamoja na
1. “Cake”
2. “Foreign”
3. “Na Na”
4. “Touchin, Lovin” f. Nicki Minaj
5. “Disrespectful” f. Mila J
6. “Dead Wrong” f. Ty Dolla $ign
7. “All We Do”
8. “Foreign (Remix)” f. Justin Bieber
9. “Late Night” f. Juicy J
10. “SmartPhones”
11. “Yes, No, Maybe”
12. “YAS”
13. “Change Your Mind”
14. “What’s Best For You”
15. “Love Around The World”
16. “I Know (Can’t Get Back)”
17. “Mr. Steal Your Girl”
Tuisubiri Trigga ikitoka kesho kutwa Julai 1 tujue yaliyomo yamo!!!
