Kwa mahitaji yako ya Nguo za kisasa Viatu, mapambo, vipodozi Na Nguo za harusi kwa wanawake na wanaume tembelea Moreen Fashion iliopo SINZA KIJIWENI, duka linatazamana na Habari Co-operation Pia wanatoa ushauri wa namna ya kufanya harusi nguo gani uvae na kukufanyia order ya nguo zote na za wasimamizi.
KARIBUNI SANA BEI NI NAFUU KUTOKANA NA UHALISIA WA MAISHA YA MTANZANIA WA KAWAIDA.