pamoja na umati uliojitokeza kumzika Mwanamuziki mkongwe Fatma Binti Baraka aliyefariki jana nyumbani kwake zanzibar baada ya kusumbuliwa na maradhi ya mapafu kwa muda mrefu pia wasanii wachanga wa kizazi kipya walijitokeza kumzika mkongwe huyo wa muziki miondoko ya Taarab akiwemo Diamond, FidQ na wengine wengi katika sekta mbali mbali ya muziki hapa Tanzania.