Miss Elliot hivi karibuni amerudi kwenye game la muziki baada ya kupumzika kwa muda, amerudi akiwa na Pharrell na kufanya ngoma ya “WTF”. Toka Miss Eliot rapper kutoka Virginia aliachia albamu ya The Cookbook miaka 10 lakini kwa sasa ameibuka Nick Minaj akiwa ni rapper ambaye yupo juu katika game kwa sasa.
Wapenzi wengi wa Hip Hop wanaona chembechembe za Miss Elliot kwa rapper Nick Minaj, Billboard walitaja kishawishi kwenye cover story kuhusu Miss Elliott.
“Kweli anavutiwa na mimi, kwa bahati mbaya kuna Miss mmoja tu” alisema Miss Elliott.
Miss anafahamika kwa ngoma zake kali kama “The Rain (Supa Dupa Fly” “Get Your Freak On” na “Work It” pia aliongelea kukosekana kwa marappers wa kike kwenye rap music siku hizi.
“Nilikuwa mimi, Lil Kim, Eve,Fox Brown, Trina.bado nafasi ipo kwa wengine wengi,ni muhimu” alisema Miss kuhusu wakati wake.
Miss Elliott anajiandaa ngoma zaidi, anajua jinsi watu watakavyochukulia, anajua kwa sasa utamaduni wa mitandao mengi yamekuwa yakiendelealinapokuja swala la kukosoa.
“Natakiwa kuwa muangalifu, mambo yamebadilika sasa, watu wako haraka sana kupenda,hivyo hivyo ukiharibu tu unatupwa kule” alisema Miss Elliott.
Unajua Nick Minaj Anachembechembe Za Rapper Gani Wa Zamani Wa Kike?
Previous Story
Lil Wayne Aendelea Kupata Nafuu Baada Ya Upasuaji
Related Posts
-
-
Picha:Uzinduzi Wa Channe Ten Kuonekana Kupitia DSTV Channel Number 292
-
Story Ni Lupita Kupiga makelele Baaada Ya Kukutana Na Beyonce Au Story Ni Beyonce Kupost Picha Instagram Akiwa Na Lupita Nyong’o?
-
Kelly Rowland Amejifungua mtoto wa Kiume Jumanne Nov 4,
-
Drake Ashikwa Na Hasira Awarushia Dola Za Kutosha Walinzi Wa Club Ya Usiku
-
Breaking News: Bi Kidude Afariki Dunia
-
Video:Bora Niishi Katika Maisha Ya Kimasikini Kuliko Kuchukuliwa Na Kim Kardashian, Yatima Amtolea Nje Kim Kardashia Kumuasili (Adopt)