Mwanamke aliyekaa juu ya nyumba yake kwa siku tano kuzuia isipigwe mnada na madalali wa Tanzania Investment Bank eneo la Mbezi Tangi Bovu.
Nyumba ipo mbezi Tangi bovu na inaeneo kubwa sana mama anasema hata akiuza si chini ya ml 500 iweje atolewe kwa ml 240?wakati mdaiwa nyumba zake mbili zimeshachukuliwa na mabasi mawili yale makubwa ya safari za mikoani.Hiyo ml 240 haijatimia tu?na kama bado kiasi gani kimebaki