Panapokusanyika Mastaa wakubwa katika hafla fulani hapo ndio mapaparedzi nao wanapokua kazini kweli kweli kutoka na mapya,
Hiki nacho nikioja kipya eti wakati tuzo za VMAs zinafanyika Jumamosi usiku Mtandao wa Vevo ulikua busy kuchunguza na kuwaza mambo kichwani nakuamua kutweet jambo ambalo katika hali ya kawaida huwezi lidhania,
Tweet hiyo ambayo haikupendezwa na watu wengi ilikuwa inasema:
Itakua mbaya siku Blue Ivy atamuona North Na Kumuuliza “Mama Yako Anashughuli Gani”
Below is what Vevo live Tweeted to their millions of followers immediately after Beyonce’s performance at the 2014 MTV Video Music Awards.