Michezo kadhaa ya ligi ya Uingereza imeendelea Jumatatu ya tarehe 10 Februari (Monday of Sports) kwa kushuhudiwa michezo mikali ambapo katika mchezo wa kwanza Arsenal ilishuhudiwa ikipata ushindi kwa shida dhidi ya Leicester timu iliyoko nafasi ya mwisho kabisa katika msimamo wa ligi hiyo kwa kuicharaza 2 – 1.
Mechi nyingine Hull iliibamiza 2 – 0 Aston Villa, huku Sunderland ikilala nyumbani kwa kucharazwa magoli 2 – 0 na PR, Liverpool ikashinda 3 – 2 dhidi ya Tottenham.
Msimamo wa ligi kwa sasa kwa timu 5 za juu inaongoza Chelsea ikiwa na pointi 56, akifuatiwa na Man City mwenye pointi 49, Southampton anashika nafasi ya tatu akiwa na pointi 45 na Arsenal anafunga nafasi ya 5 za juu akiwa nafasi ya 5 na pointi 45 pia.
Mechi nyingine zinategemewa kupigwa siku ya kesho, Chelsea vs Everto, Man Utd vs Burnley, Southampton vs West Ham, Stoke vs Man City, Crystal Palace vs Newcastle na West Brom vs Swansea.
Matokeo Ya Mechi Za Ligi Ya Uingereza Jumanne 10 Februari 2015
Related Posts
-
-
Mwanamuziki Stevie Wonder Anatarajia Mapacha Watatu Na mchumba Wake, Jumla Atakuwa Na Watoto Kumi
-
Msanii Twenty Percent (20%) na Producer Man Water Wamaliza Tofauti Zao
-
Maria Carey Kupunguza Ukubwa Wa Matiti yake
-
Kama Ulikuwa Hujui Hii Ndo Sababu Ya Jay Z Na Beyonce Kutohudhuria Harusi Ya Kanye West Na Kim Kardashian
-
“Kuna Kitu Nataka Kufanya ili tu kuonyesha Shukrani Zangu Kwenu lakini ni ‘Surprise” Kauli Ya Wema Sepetu
-
Taylor Swift Huwa Anasikiliza Ngoma Za Kendrick Lamar Anapokuwa Na Stress