
Wafaamu barnaba na Amni zaidi ya uwajuavyo kupitia interview hii waliyofanya na MusicXpress, Kabla ya kuwa wanamuziki walikutana katika biashara ya kuokota na kuuzavyuma chakavi ‘SISO’ kama inavyojulikana.
lakini pia wametambulisha kundi lao jipya na msimamizi wao mpya ambae anawasimamia kama kundi ‘MANAGER ‘
Maelezo yao yanaashiria kutokuwepo tena THT, lakini pia inaonekana mapenzi ya Amini na Linna Bado ni kitendawili
Tazama mahojiano hayo katika Video hapo juu.
