Habari ya Dunia kwa sasa ni juu ya swala la mdogo kipenzi wa Beyonce , Solange kumdunda mateke kwa magumi shemeji yake JayZ
Hapa mtu na shemejiye mapenzi teleee
sakata hilo lilianza baada tu ya watatu hao wakiwa na mabaunsa wao walipoingia ndani ya lifi mara baada ya kumaliza shughuli moja ya after party huko New York Marekani
sole and Dada
Chanzo cha Mdada Solange Kumshambulia Shemeji yake huku Dada mtu anashuhudia bila kufanya lolote hakijajulikana bado