Ni kina dada ama wasichana wangapi wamekuwa na kihere here cha kuwatambulisha wanaume wanaowaita wapenzi wao kwa masham sham kabla hata hawajajua mwisho wa mahusiano yao yatakuwaje
Ni wanawake wangapi wamejihamisha kwa wanaume ili ku force uchumba ama kuolewa badala yake wanaambulia patupu
ni wanawake wangapi wameamua kuwazalia wanaume wakiamini ndio ticketi ya uchumba ama ndoa badala yake wanaachwa na watoto wao kweupe huku wakiolewa mwanamke mwingine?
wanawake wangapi wamekuwa wakiwatambulisha wapenzi wao kila baada ya mwaka mpenzi tofauti
ukipata majibu ya maswali hayo
jifunze kupitia Taraji p. ambaye ni muigizaji wa tamthilia maarufu ya Empire anayecheza kama Cookie
kupitia video hii wakati anahojia na Steve Harvey
yeye amesema kubali usikubali kama mwanaume hajamvalisha pete basi hana haki ya kutambulishwa
kwa vigezo kuwa yeye kwa sasa ni mtu mzima muda wa showoff ni wa teenager lakini pia kama mzazi hataki matokeo mabaya kwa mwanae wa kiume ambaye mwisho wa siku atamchanganya kama mahusiano alokuwa nayo hayatakuwa na mwisho mzuri na badala yake itakuwa ni kumtambulisha wababa wapya kila kukicha
jithamni, jitambue, jikubali,jiamini mtoto wa kike….wanaume hupenda wanawake wenye msimamo na wenye kujiamini
“I’m a grown woman so ‘dating and let’s just see’ –those days are over. If there’s nothing on this finger, if this finger’s naked, no one gets claimed. You don’t get claimed until you claim me. Period. You don’t get to say, ‘I dated Taraji P. Henson.’ You don’t get to go on the red carpet and share that part of my life with me because now, today with social media, it’s not private. I have a son and I don’t want them to be like ‘mom dated that one and this and this’…I can’t do that. I can’t afford that because then when I do meet the one, he’s gonna be like, ‘you were a ho, you been with this one, this one, this one’…I can’t do that.