Muakilishi wa Kanye West amethibitisha kwamba West anafanya ngoma ya “Pis on your grave” lakini amekataa kucomment juu ya uvumi kufanya kazi na McCartney.
Ikiwa ni ngoma rafu ya wimbo mpya wa Kanye West imevutia albamu inayokuja ya repa huyo, chanzo kimoja kiliiambia gazeti la The Sun kwamba West anajitahidi kufanya kazi na Paul McCartney katika ngoma mpya inayotoka.
Taarifa hiyo ilianzia Kwenye backstage alipotokea West wakati wa show ya The Beatles huko Los Angeles katika uwanja wa Dodgers.
“Kanye West kweli anawaheshimu wakongwe wa muziki, anamalizia ngoma katika albamu yake mpya, amekuwa akirekodi Macca kwa muda sasa pamoja” chanzo kimoja kiliiambia The Sun
“Kanye na Paul wamejuana kwa muda mrefu lakini wamekuwa marafiki wakati huu, kuna nafasi kwamba wataenda studio” kiliendelea kueleza chanzo hicho.
Habari inafuata baada ya comment kutoka kwa McCartney mwaka jana ambapo aliweka wazi kuhusu kumshirikisha mwana hip hop kwenye wimbo wake wa “Appreciate”.
Wakati ngoma haikuisha akiwa amemshikirisha repa, Paul alisema alikataa kumuweka repa katika wimbo kabla ya kuulizwa msanii gani wa hip hop anaweza akawa Jay Z au Kanye West alisema McCartney.