Sakata la Mtangazaji wa kituo kikubwa cha Burudani Cha Marekani E NEWS Giuiliana Na Muigizaji Zendaya Kuhusu Bangi limechkua hatua nyingine baada ya mtangazaji Giuliana Kuomba Radhi Hewani Zaidi Ya Alivyoomba kupitia mtandao Wa Tweeter Wakati wa kipindi cha Fashion Police cha kituo HICHO anachofanyia kazi mtangazaji huyo, wakati wa Tuzo za Oscar alisema kuwa Aina ya nywele alizoweka Zendaya ambazo ni rasta zinaharufu ya bangi, Coment iliyoonekana kama ni ya kibaguzi na kukasirisha watu wengi Moja ya waliokerwa na kauli ya mtangazaji huyo ni Whoopi Goldberg ambaye aliwahi kuigiza Movie ya sarafimna ‘Yeye sio Joan Rivers. Labda ujue namta ya kutania vinginevyo usifanye hivyo, Nimekutana na ubaguzi mara zote kwa hivyo sifurahishwi na wabaguzi, Alizingua..Nimekuwa na Rasta Kwa zaidi ya miaka 40 sasa na sijawahi kunuka Bangi” alisema Na Mchekeshaji Mwingine Sheryl Underwood Alisema ‘Hivi Giuliana angejisikiaje kama tungemsema vibaya kuhusu tatizo lake la Ugumba’ Kama ni jambo lililokuzwa hivi kwasababu sio watu weusi pekee wanaofunga rasta,sasa kwanini Giuilian aonekane kama amemaanisha ubaguzi ?Ni kama jambo la Kijinga zaidi ya ubaguzi. Alihoji Muandishi Wa blog Moja Kweli jambo hili limefanya watu watake mtangazaji huyo afukuzwe kazi toka katika kituo hicho alichofanyia kazi kwa muda mrefu. Wasomaji wa online wanapendekeza mtangazaji huyo afukuzwe kazi kutoka katika kipindi cha Fashion Police na kutoka television hiyo kwa ujumla Hapo Ndipo ilimbidi Mtangazaji Huyo Aombe Tena Radhi Hewani baada ya mambo kuwa magumu Na haya ndio maneno aliyosema: ‘I’d really like to address something that’s weighing really heavy on my heart. I want to apologize for a comment that I made on last night’s Fashion Police about Zendaya’s hair.’ ‘As you know, Fashion Police is a show that pokes fun at celebrities in good spirit, but I do realize that something I said last night did cross the line.’ ‘I just want everyone to know that I didn’t intend to hurt anybody, but I learned it’s not my intent that matters. It’s the result. And the result is people are offended, including Zendaya.
And that is not okay.’ The apology video below..