Kituo cha luninga cha ITV cha uingereza kimefanya upelelezi wa siri wa namna biashara ya pembe za ndovu inavyafanyika Tanzani Baada ya Muandishi wake kujifanya mteja kutoka China mwenye kuhitaji bidhaa hiyo huku akiwa akiwa na camera Ya siri.
Katika Video Hii inaonyesha muuzaji akieleza bei ya kilo ya pembe za ndovu kuwa ni dola za kimarekani 700 ambazo kwa pesa ya kitanzania ni milioni moja laki moja ishirini na saba.