naonekana baadhi ya vituo vya runinga nchini Afrika Kusini, zikiwemo Channel O na Soundcity zimetaka video mpya ya Prezzo, Liqher ifanyiwe marekebisho kadhaa ili vianze kuicheza.
Hiyo ni kwa mujibu wa mawasiliano kwenye mtandao wa Twitter kati ya msichana aitwaye Tricia Stever anayetumia jina GOLDIE 4EVER GOLDEN aliyetaka kufahamu kwanini video hiyo haioni ikichezwa kwenye vituo hivyo.
“Pls y is d video for #liqher not being shown on soundcity, channel o n other music channels @amb_prezzo #justcurious,” aliuliza msichana huyo jana.
Prezzo akiwa kwenye jacuzzi
Wanawake
wakionesha vitendo vya usagaji
PREZZO alijibu “Working on it, had 2 make sme changes……if u know wht I mean.
”“Yeah i understand but pls try n hasten it up, cos dat video is dope n d whole of africa need to watch it,” alitweet Tricia.
Video ya Liqher inamuonesha Prezzo katika baadhi ya scenes akiwa kwenye Jacuzzi na wasichana walio nusu utupu na wengine wakinyonyana ndimi.
Katika sehemu zingine anaonekana msichana mrembo akijig’ata vidole vyake kimahaba na hivyo kuamsha hisia kali .