
Ukweli kila mtu amefurahia uwepo wa msanii wetu wa kizaki kipya AY katika mahojiano na kituo kikubwa cha tv BBC katika kipengele cha Focus On Africa akitajwa kuwa msanii wa kwanza Tanzania na watatu Afrika Mashariki kuhojiwa hapo
Pamoja na nafasi hiyo kubwa aliyoipata AY je? aliitumia vizuri? Je alijibu maswali Kama alivyoulizwa?
Tuna tatizo la kuzungumza kiingereza au kukielewa?
ni mtazamo tu.
tazama na sikiliza kwamakini video hii tena, alafu baki na jibu mwenyewe.
