
wiki hii Lady jay dee ame make head lines kupitia vipindi mbalimbali katokana na kuachia ngoma yake ya joto hasira lakini pia kutokana na madongo alioyatoa kupitia ukurasa wake wa tweeter akilenga kuwachana live mafisadi wa muziki wa bongo flavour hapa nchini
haya ni mahojiano mengine aliyoyafanya kupitia kipindi cha BEAT SOUND cha DJ TASS wa MAGIC FM Â kinachoruka Channe Ten kila ijumaa Saa tano usiku
