Habari kutoka Mumbai nchini india zinasema watu 34 wamakufa wakiwemo watoto kumi na moja huku wengine wakiwa wamenasa zaidi kwenye vifusi vya jengo hilo la Ghorofa Saba.
Vikosi vya uokoaji vinaendelea kuwatafuta watu walionasa katika kifusi na inasadikiwa idadi ya watu waliokufa ikaingezeka huku ikitajwa majeruhi wengi hali yao kuwa mbaya
India ni miongoni mwa nchi zenye matukio ya mara kwa mara ya kuporomoka majengo kutokana na kinachotajwa kuwa ni ujenzi usiozingatia viwango.
Photo credit : www.milladayo.com