Katika kampeni inayoendelea ya kuhakikisha jiji la Dar linakuwa safi zoezi la bomoa bomoa linaendelea katika eneo la Mwenge ambapo baadhi ya wafanyabiashara katika eneo hilo ..
wamelalamikia utelekezaji wa zoezi hilo.
Kwa upande wa manispaa ya Temeke zoezi la bomoa bomoa limefanyika kwa kuwaoondoa wafanyabiashara waliovamia maeneo yasiyo rasmi..
zoezi ambalo limefanyika chini ya ulinzi mkali huko likiwa limewaathiri wafanyabiashara wengi wa maeneo ya Mwenge..