Shughuli za biashara ya maduka na huduma mbalimbali za kijamii katika jiji la mwanza zimesimama kwa siku nzima kufwatia mgomo wa wafanyabiashara wakubwa na wakati zaidi ya 2000,wanaopinga matumizi ya mashine za kodi za Kieletroniki-EFD..
Baadhi ya wafanyabiashara hao wakiwa na mabongo zenye ujumbe tofauti.
mgomo huo ambao umeathiri maelfu wa wakazi wa jiji la Mwanza na kusababisha usumbufu mkubwa kwa baadhi ya wakazi wa jiji hilo.