
Walimu nchini Zimbabwe wameripotiwa wakiwa wanalazimishwa kuchangia Birthday ya Rais wa nchi hiyo
Sherehe hizo zinategemewa kufanyika mapema mwezi huu ambapo rais huyo anatimiza miaka 90 ya kuzaliwa …,
Chama tawala cha ZANU -PF kimepanga kukusanya dola bilioni moja kwa ajili ya sherehe ya kuzaliwa Rais Mugabe..
Hata hivyo katibu mkuu wa chama cha walimu nchini Zimbabwe Raymond Majongwe amesema wamekuwa wakifwatwa na wanaharakati huku wakilazimishwa kuchangia sherehe za kuzaliwa kwa rais huyo…
