Wanafunzi wa shule ya secondari ya mama salma kikwete wamevamia na kuanza kuirushia mawe shule ya sekondari manzese hali iliyopelekea wanafunzi watatu kujeruhiwa, iliyolazimu jeshi la polisi kufika eneo hilo kurejesha amani..,
Mmoja wa wanafunzi wa shule ya mama salma kikwete alifahamika kwa jina la Shafiq Ramadhani alikamatwa na polisi na kuwekwa chini ya ulinzi baada ya kudaiwa kuanzisha vurugu kwa kumchoma kisu na msumari mwanafunzi wa shule ya manzese..
Mmoja wa wanafunzi wa shule ya secondari ya manzese amesema chanzo cha vurugu hizo ni mambo ya mahusiano ya kimapenzi baina ya wanafunzi hao wa shule ya mama salma na shule ya manzese..
N.B kwa hali hii wanafunzi hawa wa kidigitali na whatsapp,je mpango wa BIG RESULT NOW utafanikiwa..?????