Washiriki warembo watatu wa miss South Afrika Wamefukuzwa na kushindwa kufikia vigezo vya kushiriki mashindano hayo yanayoandaliwa kwa mwezi march mwakani kwa kuwa na michoro mwilini mwoa “tatoo”
washiriki hao Kelly Davids, Altina Vries na Aseza Matanzima walishindwa kufikia vigezo vya kuwa washiriki wa mashindano hayo kwasababu ya michoro hiyo ambapo hawakujaza kama wanamichoro katika fomu za kujiunga lakini hatimae walionekana
Akizungumzia kufeli kwao muandaaji wa mashindano hayo Claudia Henkel alisema kuwa mshiriki mrembo Kelly amechora tatoo nyuma ya shingo yake ambayo mara nyingi hufichwa na nywele na huonekana kama nywele zikiwa juu
Mshiriki Mrembo Mwingine Altina yeye amejichora kuzunguka bega lake na nyuma ya sikio wakati mshiriki mrembo Aseza yeye amejichora upande wa mkono wake wa kushoto
Claudia aliongeza kuwa hata hivyo mshiriki mrembo Aseza alikiri kuwa na mchoro huo wakati wa uchukuaji picha akifanyiwa mahojiano na kufanya mchoro hupo uonekane lakini hakutaka tu kujaza kwenye fomu ya maombi iliyowataka kujaza kama wana michoro
hay vijana kazi kwenu hayo ni mashindano ya urembo tu, vipi kwenye mammbo mengine ya kiserekali na kinchi mnajikosesha mengi kwa mambo ya kuiga wakati hamjua hata mwisho wenu nini
tuache kuiga jamani Rihanna Ni kitu kingine yule anauhakika wa maisha yake mpaka anakufa sasa wewe mwenzangu na mie