Drama Continue, kama kawa wazee wa drama wamelipuka tena mara hii kaanza Wema kupitia Instagram yake, kawachana masnich wanaoingilia penzi lake taaam na bwana wake Diamond, tena kawacha na hasaaaaa
Huku akiambatanisha Picha inayomuonyesha Diamond Usingizini Akiwa Na Alama Ya LIPS shavuni kwakwe inayoashiria Busu bichii limepigwa wakati huo
Msanii Diamond Nae Alijibu kwa kuwaambia jamani muwaache bado wanalalaaaaaaaa
Hili Ndio Jipya kwa sasa