Vioja Duniani, Wiz Khalifa kaamua naye ku break the Internet sawa kabisa kama Kim kardashian,
Kama mwenye stress za kuachwa au kuvunjika kwa ndoa yake ya na aliyekuwa mke na na mama mtoto wake Ambar Rose
Rapper huyo ameshare picha yake akiwa mtupu bafuni anaoga huku akiwa aanajimiminia maji kwa shower na mkono wake mwingine kashika sehemu zake za siri akionekana yupo bafuni
picha yake iliandamana na maneno yasemayo ‘No shower til 4pm’. See the full pic after the cut…