Msanii mwenye mafanikio sana nchini Nigeri na anayetajwa kuwa na Bif na msanii mwenzake Davido ameshambuliwa na mashabiki zake kwa kuwatumia wasichana wenye rangi nyeupe tu katika video yake huku wakimlaumu na kutaka kujua ipo wapi asili ya Afrika ka wanawake weusi wakubwa wenye makalio makubwaaa?
Wizkid alishambuliwa baada ya kushare picha za utengenezaji wa video yake mpya inayofanyka huko Miami nchini Marekani na akionekana ametumia wasichana wa kilatino zaidi ndani ya Yacht bila kuonekana hata msichana mmoja wa kiafrika au mwenye rangi nyeusi
Kitendo hicho kimeonekana kuwakera sana mashabiki zake
Tweet Za Mashambulizi sasa