Tiwa Savage na Teebillz hatimaye wamemuonyesha sura mtoto wakiume anayeitwa Jamil, walimuonyesha ilikuwa siku ya Christmas….Good son..Congrats.
Kwa sasa mastaa wengi duniani kuonyesha ovyo watoto wao imekuwa ishu san, mpaka sasa hakuna aliyeona picha ya mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian mtoto wao mwingine wakiume anayeitwa Saint licha ya mitandao na magazeti kutangaza dau kutaka picha hiyo
Kibongo mtoto ambae hajaonekana mpaka sasavni mtoto wa muigizaji wa Bongo movie Aunt Ezekiel.
Kama Hujamuona Mtoto Wa Tiwa Savage Huyu Hapa Kwa Mara Ya Kwanza
Related Posts
-
-
Tour Inayokuja Ya Nas Ya “Illmatic” Pia Itaambatana Na Filamu Inayoitwa “Time Is Illmatic”
-
Baada Ya Kutajwa Kugombea Tuzo Za Oscar Leonardo Dicaprio Afunguka
-
Rumors Has It!! Unajua Nani Ndo Amehusika Kuvunjika Ndoa Ya Future Na Ciara?
-
Tamasha La OVO La Drake, G.Unit, Outkast, Lauryn Hill Na YG Watokea
-
Hassan Maajar Trust na NHC zatoa madawati 264 kwa shule 7 mkoani Singida katika kampeni ya Dawati kwa kila mtoto.
-
Baada Ya Kustaafu Mpira Ponda Mali A.k.a Mensah Atoka Na Kundi Linaloitwa P.Star