Yaliomkuta Msanii wa muziki wa bongo flavour Nasibu Abdul aka Diamond ya kunyang’annywa gari yake ya kifahari Land Cruiser V8 kwasababu zilizosemekana ni kunshindwa kulipia gari hilo, Yaemkuta msanii wa Uganda Jose Chameleon baada Na TRA ya kwao inayojulikana kama URA Kumnyang’anya Gari lake la kifahari aina ya Escalade baada ya kusemwa ya kuwa hakumaliza kulipia Kodi ya gari hiyo yenye thamani ya pesa ya kiganda milioni saba
Kibali kutoka URA
Maafisa wa URA wakifanya yao
Japo kulikua na vutanikuvute ya kunyag’anywa kwa mchuma huo wa bei mbaya kabisa na mikwala mingi toka kwa Chameleone kuhusiana na yule atakayejaribu kugusa Escalade yake kwa madai ya kwamba yeye hana tatizo kama hilo lakini mmh mikwala haikufua dafu pamoja na vitisho vya kufa na mtu atakaye thubutu kugusa mchuma huo kwani wenye kazi yao walitekeleza maagizo
Kasheshe hiyoilitokea ikiwa ni siku chache tangu msanii huyo apost na kushare picha kupitia mtandao wake wa instagra akiwa juu ya gari hilo pamoja na tuzo zake nyingi huku nyingine akipost akiwa anahesabu dola zake kwa mashine
kama si kutaka kum stress kisanga hicho kilitokea wakati wa tamasha lake la Tubonge