
osheeeeeeeeee
Mtu mmoja amenusurika kifo baada ya gari lake dogo aina ya RAV 4 kushika moto maeneo ya daraja la Sallenda barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es salaam kutokana na hitilafu ya umeme huku ikisababisha foleni kubwa kwenye maeneo yote ya barabara hiyo.
Baadhi ya mashuhuda wameilalamikia likosi cha zima moto kwa kuchelewa kufika kwenye tukio..,
