Ndege ya Algeria imesemekana imepoteza mawasiliano leo Alhamisi karibu saa moja tu baada ya kuruka kutoka Bukina Faso kuelekea Algeria.
Chanzo kutoka katika kampuni ya ndege hiyo kiliiambia AFP kwamba ndege hiyo iliyopotea ilikuwa na watu 110 wa kutoka mataifa tofauti tofauti wakiwemo wafanyakazi 6.
Chanzo hicho kiliendelea kueleza kwamba ndege hiyo ilipoteza mawasiliano wakati bado ikiwa Algeria ikaribia mpakani.
Mwezi Julai 17 serikali ya Bamako na makundi ya kijeshi kutoka kaskazini mwa Mali walizindua maongezi mazito huko Algiers yakilenga kuleta usalama na amani na sehemu za nchi hiyo ambazo zinacheleweshwa migogoro.
Kumekuwa na matukio mengi yanayohusisha ndege kwa kipindi hiki toka ilipopotea ndege ya Malaysia ambayo mpaka leo haijulikani ilipo na juzi ndege nyingine ilisemekana kulipiliwa na magaidi ikiwa angani huko Ukraine na uchuinguzi bado unaendelea.
Air Algeria Yapoteza Mawasiliano Ikiwa Na Wato 110
Related Posts
-
-
Mauaji Ya Kutisha Ilala Bungoni Dar Es Salaam,Wivu Wa Mapernzi Wahusishwa, Tunaomba Radhi Kwa Picha
-
Vikongwe Hawa Kutoka Marekani Wawa Binadamu wengine Watajwa Kudumu Zaidi kwenye Ndoa
-
Mama Mzazi wa Mkuu Mpya wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Kamishna Ernest Mangu Atoa Historia Ya Kusikitisha N a Yakijasiri Jinsi Alivyoweza Kumsomesha Mwanae Kwa Tabu Sana
-
Floyd Mayweather Ashtakiwa Na Mpenzi Wake Wa Zamani
-
Wajumbe Wa Bunge Maalum La Katiba Waaswa
-
Korea Ya Kusini Yatengua Sheria Ya Kukataza Ngono, Sasa Yahalalisha Ngono Kisheria