
Picha huwa zinapewa tuzo, lakini pia ni changamoto kupata shot nzuri, ni ngumu zaidi ya unavyowaza wewe, hata kama hiyo picha umeipata kwa bahati mbaya, picha zilizopatikana kwa bahati mbaya lakini nzuri, haijafanyiwa editing yeyote hufanyiwa makala na kusherekewa. Baada ya yote huwa picha za wakati wote ambayo kila mtu akiiona anasema kweli, kwa sababu huwezi kuipiga tena.
Picha nyingi ambazo zinakuwa zimepatikana kwa bahati huzunguka kwenye mitandao na kila mtu huto maoni yake huku ikisifiwa…Angalia hizi picha 50 nizatofauti kabisa….
