
Msanii Wa kitambo hapa Bongo aliyepitia chamoto ya matumizi ya madawa ya Kulevya Ray c ameonakana akipambana na mwili wake kwa sasa katika kupunguza unene kupita kiasi baada ya matibabu ya kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya
RayC amepost picha kupitia mtandao wa Instagram zinazomuonyesha akikazana kweli kweli kuuweka mwili wake fiti baada ya utipwatipwa
hivi karibuni RayC ameonyesha Nia ya kuendelea na fani yake ya muziki baada ya kuipa kisogo na kutumikia nadawa ya kulevya… RayC aliyezoeleka na mtindo wake wa kiuni bila Mfupa anakazi ya ziada kurudi kule alikotoka
Hata hivyo mwili huu wa Rayc kwa saaa unathibitisha ni jinsi gani Mrembo huyo amepona kutokana na matumizi ya madawa Ya kulevya
