Ile safari ya Mshindi wa Big Brother the Chase Dilish kutoka Namibia ya kumtafuta baba yake mzazi imefikia tamati siku ya Tarehe 16 Sep 2013 ambapo ilikuwa ni sherehe yake ya kuzaliwa baada ya kukutana na baba yake huyo Raia wa Kenya Abdi Guyo aliyejitokeza kuwa ndio baba mzazi wa Delish baada ya kumsikia akitangaza kumtafuta baba yake mzazi na kitu kizuri mama mzazi wa Delish Selma Alithibitisha baada ya mtandao mmoja wa kenya Standard Media kuwaunganisha kwa utaalam wa kisasa na kufanya mazungumzo kupitia internet.
Picha Hizi Dilish Amezishare kupitia ukurasa wake wa FaceBook