Christina Milian anaweza akawa anaoyesha ni kiasi gani anampenda Lil Wayne na bado anaendelea kumtega baada ya kuvaa kipens cha hatari. Kuna picha ambazo ameonekana Christian Milian akiwa amevaa pens kwenye picha zilionekana kwenye tovuti ya Allhiphop.com huku akiwa amenyoa ukiangalia vizuri amechora N na T ukiangali haraka haraka unajua amemaanisha Tunechi na pia caption aliyoandika unaelewa mpango mzima what she meant!!
Wawili hao wamekana kuwa wapenzi, wamekuwa wakionekana pamoja sehemu mbalimbali mara kwa mara mwishoni mwa wiki chache zilizopita.
Waendelee kukataa tu lakini siku moja itafahamika tu kwa sababu mapenzi ni kikohozi kuyaficha huwezi itafamika tu!! Ipo siku.
Uvumi Wa Hip Hop: Christina Milian Hii Inaweza Ikawa Ni Sababu Nyingine Ya Kumfikiria They Crazy In Love With Tunechi
Related Posts
-
-
Mtandao Wa InstaGram Wafikisha Watumiaji Mil 300, Waupiku Mtandao Wa Tweeter
-
Diamond muonee Huruma Baba Yako Mgonjwa
-
Elle UK Magazine Toleo la Februari 2016 Kylie Jenner Anahusika
-
Hivi Ungejisikiaje Mume Wako angekuambia maneno haya mbele ya Jamii kama alivyofanya Jay Z kwa Mke wake Bey
-
Baba Wa Beyonce Mr Knowles Azaa Na Mwanamitindo Muonyesha Nguo Za Ndani DNA Imethibitisha Kwa 99.998%
-
Video: Mnaikumbuka Movie ya Tarzan? Hebu kumbuka jambo kwa kuitazama hapa