Kumekuwa na ugomvi wa kifamilia hivi karibuni kwa famalia ya mapacha wa P square Peter Na Paul, sababu kuu ikielezwa ni familia kutomkubali mke wa Peter Lola kwasababu wanazodai ni mkubwa kwa Peter na zaidi ametoka kabila ambalo kwa kina peter hawalikubali lakini zaidi inasemekana Lola Amekua na matumizi makubwa sana ya pesa za mume wake hasa baada ya Peter kusemekana alimnunulia nyumba Mke wake huko Marekani Matatizo kama hayo ni yakawaida hata katika familia za kawaida,
baada ya hayo magomvi inaonekana kuwa sasa mambo ni shwari baada ya wote Peter na Paul Kutumia mitandao ya kijamii kuandika maneno yanayoashiria kuwa P Square itadumu lakini zaidi wakitangaza ujio wa albam yao mpya
Baada ya hayo yote hatimae Peter akashare Chuma chake Kipya new 2014 Bentley GT Kupitia Mtandao Wake wa Insta Gram na kuandika