Ugomvi wa Drake na Meek Mill umechukua sura mpya ambapo ngoma ya Back to Back ambayo ilikuwa ni diss kwa Meek Mill,ngoma hiyo imeingia kwenye kinyang’anyiro cha tuzo za Grammy na kuwa wimbo wa kwanza kuingia katika tuzo za Grammy.
Ngoma hiyo inagombea tuzo katika kipengele cha Best Rap Perfomance katika tuzo hizo ikiwa zinafanyika mara ya 58.
Kun
a ngoma 2 ambazo zilichaguliwa lakini ni technically diss sio wazi wazi kama ilivyo “Back 2 Back”,ngoma hizo ni “Mama Said Knock You Out” ya LL Cool J na “Lost Ones” ya Lauryn Hill.
Lakini ngoma hizo hazikunyooshewa vidole kama ilivyo kwa ngoma ya Drake,Kwanini? Grammy fuels the beef! For the benefits, so we get great story to write down inside Grammy.