Kama kawaida jumatatu ndani ya mjengo wa kaka mkubwa ni siku ya washiriki kuwekwa kikaangoni.Wiki hii kutoka Ruby house waliatajwa Elikem kutoka Ghana,Natasha kutoka malawi,na Pokelo kutoka Zimbabwe ambapo kiongozi wa nyumba Oneal kutoka Botswana alimuokoa Elikem na kumuweka Selly kutoka Ghana kwenye kikaango.
Wakati katika jumba la Diamond walitajwa melvin kutoka Nigeria,Annabel kuoka Kenya,Cleo kutoka Zambia ambapo kiongozi wa nyumba melvin alijitoa muhanga baada ya kuacha kama ilivokuwa bila hata ya kujiokoa yeye mwenyewe.
Mchezo unaxzidi kuwa mzuri kadri siku zinavoendelea kutokana na kila mshiiki sasa kuonyesha uhalisia wake badala ya acting ambayo ilikua inafanywa siku za awal.