
Baada ya kuwa hospitali kwa zaidi ya wiki 2 akiwa na tatizo la ubongo kufanya kazi kwa kiasi kidogo, familia ya Brown na Houston wameamua kumtoa Bobbi Kristina kutoka kwenye mashine ambayo inamsaidia, atatolewa mashine hiyo siku ya Jumatano 11 Februari 2015. Bibi yake Brown Cissy Houston anataka ifanyike kesho kwa sababu ni kumbukumbu ya miaka mitatu ya kifo cha Whitney Houston ambae ni mama yake Bobbi Kristina.
kutoka karibu na familia hiyo aliiambia New York Post kwamba Mrs. Houston kumuacha Brown atoke kwenye mashine itamfanya mama na mtoto wake wawe pamoja milele.
“Hichi ndicho wanachoweza wakakubaliana kwamba ameshakwenda na hakuna cha zaidi kinaweza kufanyika kwa ajili yake” chanzo hicho kilieleza.
Mtengenezaji wa falamu Tyler Perry ameripotiwa analipia maandalizi ya maziko na matayarisho yote, na ameshatembelea hospitali ya Atlanta Emory ili awe na familia katika kipindi hiki kigumu kwa familia ya Brown”
“Hautamfikiria kama kuwa mtu fulani ambae alifanya kuwa mleta amani lakini ni mtu fulani kwa pande zote kweli anaheshima” chanzo kimoja cha familia ya Brown ameiambia New York Post.
Binti huyo mwenye umri wa miaka 21 mwezi Januari tarehe 30 alikutwa nyumbani kwake uso wake ukiwa umezama kwenye bathtub, Alipotolewa madakatari walimwambia baba yake kwamba uwezo wa ubongo wa Bobbi Kristina ulikuwa chini lakini alitaka awekewe mashine ya kumsaidia kuishi na kumuombea na kutegemea miujiza. Pia alitoa maelezo akikataa kwamba Bobbi Kristina ubongo wake ulikuwa umekufa wakati vyanzo vya karibu na familiana hospitalini walipoviambia vyombo vya habari.
Nick Gordon ambae inasemekana ndiye aliyekuwa mchumba wake anachunguzwa kwa sasa baada ya kukutwa majeraha kwenye mwili wa Brown usoni na na mwilini. Mamlaka husika zinachunguza ili kujua kama kuna kitu kibaya alifanyiwa Bobbi Kristina.
