Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mwanajeshi ameua Raia ikiwa ni kisasi cha Mwanajeshi aliefanyiwa fujo jana huko huko Kawe Kanisani siku ya jana.
Hali ni fujo kwa sasa na askari wameanza kurusha risasi na mabom ili kuwatawanya wananchi waliotaka kulipiza kisasi kwa mwanajeshi huyo.
Hata hivo mwanajeshi huyo ameshitiwa mikononi na mwa polisi salama kwa aajili ya sheria kufuata mkondo wake
Jina la alie fariki bado halijapatikana
Tutaendelea kuwafahamisha kila kitakachoendelea na pia sababu iliopelekea kutokea kwa tukio hilo.