Wataarifu Wanasema Moja kati Ya wanaume wawili waliotumia hati bandia za kusafiria katika ndege ya Shirika la ndege la malaysia iliyopotea baharini ilipokua inapaa kuelekea Beijing China amefananishwa na mwanasoka Baloteli Raia wa Italy anayechezea Ac Milan.
“Asked by a reporter what they looked like ‘roughly’, he said: ‘Do you know of a footballer by the name of (Mario) Balotelli? He is an Italian. Do you know how he looks like?'”
A reporter then asked, ‘Is he black?’ and the aviation chief replied, ‘Yes’.
Hata Hivyo Mpaka Leo Hakuna Dalili zozote zilizoashiria kuonekana kwa ndege hiyo pamoja na harakati zinazoendelea kuisaka kwa Zaidi ya Dozen of ships and planes kutoka nchi mbali mbali zilizoingia baharini kuitafuta ndege hiyo
Huyu Ndio Mtalii Raia Wa Italy Luigi Maraldi, 37, ambaye passport yake imetumiwa na mtu bandia baada ya kupotea, hapa akionyesha original yake mpya mbele ya waandishi wa habari wakati wa press conference katika kituo cha polisi Phuket island, southern Thailand
Zaidi Humu : Bofya