@JideJayDee Na Gadner ( @CaptainTanzania ) Kuachana Kwao Ni Kick Kibiashara!? “Ndi Ndi Ndi” 3:33 AM Lady Jay Dee
Ukiongelea tasnia ya muziki nchini Tanzania hususani Bongo Flava, jina Lady Jay Dee linasikika kichwani kwako linaita Ndi “Ndi Ndi” LOL, majina yake mengine ni Mama Some Food, Binti Machozi, Commando Jide, tuache majina kwa sababu unaweza ukataja majina ukajaza ukurasa mzima, jina lake halisi ambalo lipo kwenye passport ni… Read More →